Loading...

Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.

Loading...
Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.
link : Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.

soma pia


Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.

 Mmoja wa mchukuzi katika bandari ya Zanzibar akisoma Quran kamla ya kuaza kwa Mkutano Mkuu wa Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Shirika la Bandari Zanzibar na kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika huo.
 Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Bandari Zanzibar Juma Sururu Juma akifungua mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi wapya watakaochaguliwa katika Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Shirika la Bandari bandarini Malindi Zanzibar. 
Mmoja wa Wanaushirika wa Wachukuzi Bandarini Zanzibar akisoma Taarifa ya Ushirika huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Ushirika huo uliofanyika katika ukumbi wa Shirika la Bandari bandarini malindi Zanzibar.
Wawakilishi wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wachukuzi katika bandari ya malindi Zanzibar wakifuatilia Taarifa iliokuwa ikiwasilishwa wakati wa mkutano huo wa kuwachagua viongozi wapya.
 Wawakilishi wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wachukuzi katika bandari ya malindi Zanzibar wakifuatilia Taarifa iliokuwa ikiwasilishwa wakati wa mkutano huo wa kuwachagua viongozi wapya.





Hivyo makala Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo.

yaani makala yote Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/ushirika-wa-wachukuzi-bandari-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ushirika wa Wachukuzi Bandari Zanzibar Wafanya Mkutano Mkuu na Kuwachagua Viongozi Wapya wa Ushirika Huo."

Post a Comment

Loading...