Loading...

VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA

Loading...
VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA
link : VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA

soma pia


VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA

Sehemu ya magari tisa yaliyotolewa na shirika la EGPAF.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
CHUO cha Ufundi Cha VETA Chang'ombe  kimepata msaada wa magari tisa kutoka katika shirika la Elizabeth Glasser Padiriatic  Foundation (EGPAF) yatakayotumika kwa ajili kujifunzia wanafunzi katika chuo hicho.

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Mkurugenzi wa Kanda ya Dar es Salaam, Habib Bukko amesema kuwa msaada wa magari ni mkubwa kutokana na changamoto walikuwa wanakabiliana nayo.

Bukko amesema kuwa chuo cha ufundi  kimekuwa hakina magari ya kutosha kwa ajili ya kujifunzia na taratibu za serikali zinataka magari yanunuliwe mapya lakini msaada huo ni hatua moja nzuri ya kusaidia chuo hicho.

Amesema kuwa watu wengine wenye mashirika wanaweza kuwasaidia magari yao ambayo wanataka kuyauza kwani kwao ni msaada mkubwa kutokana na mahitaji yaliyopo katika zaidi vyuo 700 vya ufundi.

Aidha ameesma kuwa zaidi vijana milioni 25 wanahitaji kupata mafunzo hivyo kuna umhimu wa kuwa rasilimali ya vifaa katika kuweza kuendana na idadi hiyo.

 Nae Mkurugenzi wa Uendeshaji wa  EGPAF, Jacquesdol Massawe amesema kuwa wanatambua umhimu magari hayo kwa ajili ya kuwafundishia vijana wakitanzania na kuweza kupata ujunzi na kuja kutumika katika uzaslishaji.

Amesema uchumi wa viwanda unahitaji kuwa rasilimali watu wenye ujuzi kuweza kutumika katika uzalishaji wa viwanda hivyo.
 Mkurugenzi wa Kanda ya Dar es Salaam wa VETA, Habib Bukko akizungumza na waandishi habari juu ya msaada wa magari tisa yalitolewa na Shirika la EGPAF leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa EGPAF, Jaccquesdol Massawe akizungumza juu ya msaada  magari tisa jinsi yatavyotumika katika kufundishia vijana vyuo vya VETA, leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha VETA Changombe,  Douglas Kipokola akizungumza namna ya kuyatumia magari hayo katika chuo hicho leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kanda ya Dar es Salaam wa VETA, Habib Bukko akipokea nyaraka za magari hayo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa EGPAF, Jaccquesdol hatika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA

yaani makala yote VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/veta-changombe-yapata-msaada-wa-magari.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VETA CHANG'OMBE YAPATA MSAADA WA MAGARI TISA YA KUFUNDISHIA"

Post a Comment

Loading...