Loading...

Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China

Loading...
Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China
link : Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China

soma pia


Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China

 Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani wakipatiwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huateng Metalluargical Co.Ltd, Chunsheng Jiang (wa tatu kulia) kuhusiana na michoro waliyopewa kama zawadi, ikionyesha mandhari ya maeneo mbalimbali ya jiji la Beijinga pamoja na shughuli zao nchini China. Viongozi hao ni Mkurugenzi wa halmashauri Wilaya ya Kibaha, Bi. Tatu Selemani (kofia nyekundu), Mansouly Ally ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibaha, Afisa Biashara (M) Pwani Suleiman Sirindwa, Katibu Tawala Msaidizi - Uchumi na Uzalishaji -Mkoa wa Pwani, Katibu wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Philomena Kasanga (koti jekundu) pamoja na Katibu Tawala mkoa wa Pwani, Zuberi Mhina. Viongozi hao wamekuja jijini Beijing nchini China kwa ziara iliyoratibiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kiluwa Group of Companies,Mohamed Said Kiluwa (mwenye koti la njano). Malengo ya ziara hiyo ni kuja kuangalia fursa za viwanda zilizopo Beijing kwa kushirikiana na wadau wakubwa waliopo mjini humo na hatimaye fursa hizo kuzileta nyumbani nchini Tanzania kuendeleza na kuunga mkono juhudi za rais za kujenga uchumi wa viwanda
Aidha baada ya kukutana leo viongozi hao pamoja na wadau wakuu wa mambo ya viwanda nchini China, kesho wanatarajia kushiriki kwa pamoja mkutano utakaohusu masula ya viwanda,utakaojumuisha wadau zaidi ya 160 kutoka maeneo mbalimbali nchini humo.



Hivyo makala Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China

yaani makala yote Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/viongozi-wa-mkoa-wa-pwani-wapewa-somo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Viongozi wa Mkoa wa Pwani wapewa somo la fulsa ya Viwanda jijini Beijing, China"

Post a Comment

Loading...