Loading...

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake.

Loading...
Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake.
link : Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake.

soma pia


Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee , Vijana Wanawake na Watoto Pemba Khadija Khamis Rajab, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mafunzo ya kuripoti habari za udhalilisha na ukatili kwa Watoto na Wanawake uliofanyika kisiwani Pemba na kuwashirikisha waandishi wa vyombo mbalimbali kisiwani Pemba 
watoto huko Kisiwani Pemba.

Ofisa kutoka Shirika la Kimataifa la UNICEF Zanzibar, Ahmed Rashid Ali, akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari Kisiwani Pemba juu ya takwimu za Udhalilishaji na ukatili wa Watoto Zanzibar , huko katika
ukumbi wa Samael Pemba

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali, wakimsikiliza Ofisa Mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee, Vijana , wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab, akifunguwa mafunzo ya kuripoti habari za kakati wa kitaifa wa kupinga ukatili na udhalilishaji huko katika ukumbi wa Samael Pemba
Wadau mbali mbali wakiwemo Wafanyakazi wa  Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee na Vijana Pemba wakifuatilia  hatuba ya Ofisa mdhamini wa Wizara hiyo , wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mkakati wa wa kupina
ukatili na udhalilishaji wa Watoto huko katika ukumbi wa Samael Pemba.

Wadau mbali mbali wakiwemo Wafanyakazi wa  Wizara ya Kazi, Uwezeshaji , Wazee na Vijana Pemba wakifuatilia  hatuba ya Ofisa mdhamini wa Wizara hiyo , wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya mkakati wa wa kupina
ukatili na udhalilishaji wa Watoto huko katika ukumbi wa Samael Pemba.(Picha na Bakari Mussa - Pemba


Hivyo makala Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake.

yaani makala yote Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waandishi-wa-habari-pemba-wapata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Kuripoti Habari za Udhalilisha wa Watoto na Wanawake."

Post a Comment

Loading...