Loading...

Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili

Loading...
Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili
link : Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili

soma pia


Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili


 Mwambawahabari


 Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bibi. Dorothy Aidan Mwaluko akiagana na Kiongozi wa msafara wa magari yaliyobeba mizigo ya ofisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa zoezi la kuhamia Dodoma leo Jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143 wameagwa katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka wafanyakazi 78. Katikati mwenye miwani Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi. Jane Kajiru.
  Gari lililobeba nyaraka na vifaa vya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora likijiandaa kuondoka katika viwanja vya ofisi hiyo iliyopo Magogoni leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143 wameagwa katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka wafanyakazi 78.


 Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwapungia mikono ya kwaheri madereva wa magari yaliyobeba mizigo ya ofisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa zoezi la kuhamia Dodoma leo Jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyakazi 143 wameagwa katika awamu hii ya pili, ambapo awamu ya kwanza waliondoka wafanyakazi 78.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili

yaani makala yote Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wafanyakazi-143-wa-ofisi-ya-rais_30.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wafanyakazi 143 wa Ofisi ya Rais Utumishi Wahamia Dodoma Awamu ya Pili"

Post a Comment

Loading...