Loading...

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA

Loading...
WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA
link : WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA

soma pia


WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA

 Naibu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dr. Juma Mohammed Salum akiwakaribisha wahariri wa vyombo vya habari katika warsha ya siku mbili ya utafutaji Mafuta na Gesi Asilia inayofanyika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maji Nishati na Mazingira Mhe. Ali Khalil Mirza akifufungua warsha ya wahariri wa vyombo vya habari inayohusu utafutaji wa mafuta na gesi asilia katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar (kulia) Prof. Martin Mhando na kushoto Naibu Mkurugenzi Muendeshaji Mamlaka ya Udhibiti wa Utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia Zanzibar Ali Said Bakar.


 Mshauri wa usalama na afya  kwenye mafuta na gesi asilia  Respicious Kundama akiwasilisha mada ya mahusiano ya jamii juu ya athari za mazingira wakati shughuli hizo zikiendelea.
  Mtaalamu wa utafutaji mafuta na gesi asilia kutoka kampuni ya Rakgas ya Rasil Khema Shari Hassan akielezea namna ya shughuli za utafutaji wa mafuta na gesiasilia utakavyofanyika kwa kutumia meli maalumu itakayowasili ijumaa ijayo.
Mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo  Khatibu Suleiman akiuliza suala katika warsha hiyo inayofanyika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga.


Hivyo makala WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA

yaani makala yote WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wahariri-wa-vyombo-vya-habari-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR WAPEWA TAALUMA JUU YA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI ASILIA"

Post a Comment

Loading...