Loading...
title : WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE
link : WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE
WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE
Msanii wa Muziki wa Hip Pop Nchini, Izo Busines akitoa Burudani kwa wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo katika Tamasha Maarufu la Mziki Mnene lililofanyika katika Bar ya Dunda Dunda linaloandaliwa na Efm Radio kwa kushirikiana na Tv E
Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Prince Dully Sykes akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Muziki Mnene linaloandaliwa na Radio ya Efm na Tv E ambalo lilifanyika katika Bar ya Dunda Dunda Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
RDJ Mamy kutoka Efm Radio akitoa burudani kwa wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo kwenye Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika katika Bar ya Dunda Dunda
Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Prince Dully Sykes akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Muziki Mnene linaloandaliwa na Raido ya Efm na Tv E ambalo lilifanyika katika Bar ya Dunda Dunda Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Hivyo makala WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE
yaani makala yote WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wakazi-wa-bagamoyo-wakunwa-na-tamasha.html
0 Response to "WAKAZI WA BAGAMOYO WAKUNWA NA TAMASHA LA EFM MZIKI MNENE"
Post a Comment