Loading...
title : WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU
link : WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU
WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustine Kamuzola akiongea na washiriki wa mradi wa Uchumi wa Kijani ndani ya Hifadhi ya Hai (GEBR) wakati akifungua mkutano wa majadiliano wa kufunga mradi huo uliokuwa ukifadhiliwa na taasisi ya Korea ya Ushirikiano wa Kimataifa (KOICA) chini ya Programu ya UNESCO iliyofanyika mjini Tanga. Lengo la mradi huo ilikuwa ni kupunguza umaskini, kuhifadhi bionuwai na maendeleo endelevu katika nchi za kushini mwa Jangwa la Sahara - Usambara ya Mashariki, Tanzania. Picha zote na KAJUNASON/MMG-TANGA.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Saidi ambaye alimwakilisha mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella akifungua rasmi na kumkaribisha mkutano wa majadiliano wa kufunga mradi huo uliokuwa ukifadhiliwa na taasisi ya Korea ya Ushirikiano wa Kimataifa (KOICA) chini ya Programu ya UNESCO.
Kaimu Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Axel Plathe akizungumza wakati akifungua mkutano wa majadiliano wa kufunga mradi huo uliokuwa ukifadhiliwa na taasisi ya Korea ya Ushirikiano wa Kimataifa (KOICA) chini ya Programu ya UNESCO iliyofanyika mjini Tanga.
Meza kuu...
Hivyo makala WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU
yaani makala yote WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wananchi-watakiwa-kutunza-mazingira-ili.html
0 Response to "WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU"
Post a Comment