Loading...
title : Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi
link : Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi
Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi
Na Binagi Media GroupNi katika Mahafali ya 11 ya darasa la saba shule ya msingi Eden iliyopo Nyakato Jijini Mwanza, mamia ya wahudhuriaji yanashuhudia wahitimu wakiuchambua ubongo wa mwanadamu kwa kiwango cha hali ya juu.
Mahafali yalifanyika ijumaa Septemba Mosi,2017 shuleni hivyo tazama video hii kisha kama una mwanao wasiliana na uongozi wa shule za Eden (Awali, Msingi na Sekondari) kwa nambari 0765 80 63 51 au 0768 93 54 76 ili mwanao akasome katika shule hizo ambapo matokeo ya darasa la saba mwaka huu wanafunzi wote 74 wamefaulu.
Bonyeza BMG Habari, Pamoja Daima picha za mahafali
Hivyo makala Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi
yaani makala yote Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wanasayansi-watoto-kutoka-mwanza.html
0 Response to "Wanasayansi Watoto Kutoka Mwanza Wavutia Wengi"
Post a Comment