Loading...
title : WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL
link : WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL
WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL
Warembo wa shindano la kumsaka Miss Vyuo Vikuu 2017, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya pamoja katika Ukumbi wa Maisha kujiandaa na shindano lao linalotarajia kufanyika Ijumaa ya wiki hii kwenye Uwambi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO BLOG)
Warembo wa shindano la kumsaka Miss Vyuo Vikuu 2017, wakiwa katika mazoezi ya Shoo yao ya pamoja katika Ukumbi wa Maisha kujiandaa na shindano lao linalotarajia kufanyika Ijumaa ya wiki hii kwenye Uwambi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Itifaki na Nidhamu wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye, akizungumza na warembo wa shindano la Miss Vyuo Vikuu 2017, wakati alipowatembelea kwenye Kambi yao ya mazoezi ya kujindaa na shindano hilo linalofanyika Ijumaa wiki hii kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga.
Warembo wa shindano la kumsaka Miss Vyuo Vikuu 2017, wakiwa katika mazoezi yao ya pamoja katika Ukumbi wa Maisha kujiandaa na shindano lao linalotarajia kufanyika Ijumaa ya wiki hii kwenye Uwambi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL
yaani makala yote WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/warembo-wa-vyuo-vikuu-wajifua-kuwania.html
0 Response to "WAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL"
Post a Comment