Loading...

Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar

Loading...
Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar
link : Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar

soma pia


Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) ambayepia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi za Udhibiti Dawa Afrika Mashariki Hiiti Sillo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha wataalam toka taasisi hizo leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akifuatilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Dkt. Hiiti Sillo (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mdhibiti wa Dawa kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na Wizara ya Afya nchini Rwanda Alex Gisagara na Kamishna wa Huduma za Famasi toka Uganda Seru Morries.
Afisa Msajili wa Dawa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Shani Maboko akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es Salaam.Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar

yaani makala yote Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wataalam-wa-udhibiti-ubora-wa-dawa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar"

Post a Comment

Loading...