Loading...

WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI

Loading...
WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI
link : WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI

soma pia


WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI


Afisa Muuguzi wa chumba cha wagonjwa waliopo katika uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Veronica Vedastus na Arianna Minghetti wa Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimnywesha maziwa mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo bila ya kufungua kifua (Catheterization) katika kambi maalum ya siku tano ya upasuaji kwa watoto inayofanyika katika Taasisi hiyo. Watoto wanaofanyiwa upasuaji katika kambi hiyo ni wale waliozaliwa na magonjwa ya moyo kuwa na tundu na mishipa ya damu kutopitisha damu vizuri.
Madaktari bingwa wa Upasuaji wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kufungua kifua na kuziba tundu la moyo katika kambi maalum ya siku tano ya upasuaji kwa watoto inayofanyika katika Taasisi hiyo . Jumla ya watoto 28 wamefanyiwa upasuaji kati ya hao 19 upasuaji wa bila kufungua kifua na tisa upasuaji wa kufungua kifua.
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Shirika la Meding Kids la nchini marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo wa bila kufungua kifua (Catheterization) na kuzibua mishipa ya Moyo katika kambi maalum ya siku tano ya upasuaji kwa watoto inayofanyika katika Taasisi hiyo . Jumla ya watoto 28 wamefanyiwa upasuaji kati ya hao 19 upasuaji wa bila kufungua kifua na tisa upasuaji wa kufungua kifua.
Maafisa Uuguzi wa chumba cha wagonjwa waliopo katika uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwezao wa Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakijadiliana kuhusu maendeleo ya wagonjwa waliolazwa katika chumba hicho baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum ya siku tano ya upasuaji kwa watoto inayofanyika katika Taasisi hiyo. Watoto wanaofanyiwa upasuaji katika kambi hiyo ni wale waliozaliwa na magonjwa ya moyo kuwa na tundu na mishipa ya damu kutopitisha damu vizuri.Picha na JKCI


Hivyo makala WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI

yaani makala yote WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/watoto-28-wafanyiwa-upasuaji-wa-moyo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATOTO 28 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO WA KUFUNGUA KIFUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA KAMBI MAALUM YA UPASUAJI KWA WATOTO INAYOFANYWA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA MENDING KIDS LA NCHINI MAREKANI"

Post a Comment

Loading...