Loading...

WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO.

Loading...
WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO.
link : WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO.

soma pia


WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO.



              Baadhi ya wazee waliopiganavita ya pili ya Dunia walio fika katika mkutano wa mwaka wa wazee walipigana vita vya pili vya Dinia ulifanyika katika Jeshi la wokovu jijini Dar es salaam(picha na John Luhende wa mwambawahabari)
        

           Baadhi ya wazee waliopiganavita ya pili ya Dunia walio fika katika mkutano wa mwaka wa wazee walipigana vita vya pili vya Dinia ulifanyika katika Jeshi la wokovu jijini Dar es salaam , wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni Rasmi na wawakilishi  wa baadhi ya wazee ambao hawakufika katika mkutano huo.(picha na John Luhende wa mwambawahabari)

         
mwambawahabari
Wazee waliopigana vita kuu ya pili ya dunia wameitaka serikali kuwakumbuka na kutambua uthamani wao katika nchi hii kwani wao ndio walioikomboa nchi enzi za mkoloni.

Hayo yamesemwa kwenye mkutano mkuu wa sita wa chama hicho cha wazee TLC ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa mkuu wa wilaya ya temeke ambaye amewakilishwa na mshauri wake.

Akibainisha changamoto wanazokumbana nazo kwa niaba ya wazee wengine mwenyekiti kitaifa mzee Rashid Ngonji  amesema kuwa changamoto wanazokumbana nazo in kubwa na kuwaomba wazee wenzake kuungana kwa pamoja ili kuweza kutatua matatizo yao na kupigania maslahi yao.

Aidha pia Afisa mahusiano mzee Julias Kambalage ameitaka serikali kuweka mwakilishi wa wazee katika kila ngazi ili kuweka urahisi wa wazee kupata huduma huku akisisitiza zaidi suala la bima.

Pia baadhi ya wajumbe katika mkutano huo wamewataka wananchi kutowaita majina ya ajabu kama ile 'kikongwe' kwani hiyo ni hatua mojawapo katika maisha ya binadamu na kila MTU lazima atafikia huko.

Lakini pia wazee hao wameipigia serikali magoti na kuiomba kutambua uthamani wao na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kuishi kwani kwa Sasa Hali zao ni mbaya hasa kwa wale wanaokaa mikoani.


Hivyo makala WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO.

yaani makala yote WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/wazee-waliopigana-vita-ya-pili-ya-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZEE WALIOPIGANA VITA YA PILI YA DUNIA WAIMBA SERIKALI KUWAJILI NA KUKUMBUKA MCHANGO WAO."

Post a Comment

Loading...