Loading...

Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

Loading...
Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari
link : Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

soma pia


Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati wa kikao baina yake na Wasambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus.
Mmoja wa wawakilishi wa Kampuni za Usambazaji wa Matangazo kwenye Vyombo vya Habari kutoka Kampuni ya OMD Tanzania Bw. Enos Otieno akichangia hoja wakti wa kikao baina yao na Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe leo jijini Dar es Salaam.


Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari

yaani makala yote Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waziri-dkt-mwakyembe-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wasambazaji wa Matangazo Katika Vyombo vya Habari"

Post a Comment

Loading...