Loading...

WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

Loading...
WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
link : WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

soma pia


WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman (kushoto) Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman,[Picha na Ikulu.]21/10/2017.


Hivyo makala WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

yaani makala yote WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waziri-gavu-azungumza-na-vyombo-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI GAVU AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI"

Post a Comment

Loading...