Loading...
title : WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC
link : WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC
WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akitia saini katika kitabu cha wageni kwenye Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC alipokwenda kuagana nao na kutoa neno baada ya kufanya nao kazi kama Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara Mpya ya Mifugo na Uvuvi.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akizungumza wakati wa kuagana na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC, kulia ni mkaguzi wa Mazingirakanda ya Mashariki Bw. Jafari Chimgege na kushoto ni Dkt. Ruth Rugisha Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Baraza.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na baadhi ya viongozi katika Management ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC.
Waziri Mpina akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi wa watumishi wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC.
Hivyo makala WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC
yaani makala yote WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waziri-mpina-awaaga-watumishi-wa-nemc.html
0 Response to "WAZIRI MPINA AWAAGA WATUMISHI WA NEMC"
Post a Comment