Loading...

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro

Loading...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro
link : Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro

soma pia


Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara maalum kukagua masuala mbalimbali ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kuzungumza na viongozi wa Mamlaka hiyo kwenye eneo la makao makuu yake yaliyopo ndani ya hifadhi. 

Katika ziara hiyo, Waziri Dkt. Kigwangalla ameweza kupokea kupokea maoni na masuala mengine ya kuendeleza Mamlaka hiyo ya Ngorongoro. Waziri yupo Ngorongoro kwa muda wa siku mbili ambapo pia amepata kutembelea maeneo ya hifadhi yenye migogoro na wafugaji.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa hifadhi hiyo wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mhifadhi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisikiliza maoni kutoka kwa viongozi wa hifadhi ya Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017.
Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Freddy Manongi akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri wa Maliasili Dkt.Kigwangalla alipowasili hapo mapema leo kwa ajili ya kupata maelezo na ya kina namna ya uendeshaji na masuala mbalimbali.


Hivyo makala Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro

yaani makala yote Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/waziri-wa-maliasili-na-utalii-dk.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Kigwangalla atembelea Ngorongoro"

Post a Comment

Loading...