Loading...
title : ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI
link : ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI
ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja imeendelea tena
leo kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan
ambapo saa 8 za mchana Zimamoto na Kipanga zilishindwa
kutambiana baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Bao la Kipanga limefungwa na Nassor Ali wakati bao la Zimamoto likiwekwa nyavuni na Hassan Haji.
Saa 10 za jioni katika uwanja huo KVZ wakaitandika Polisi bao 1-0 kwa lililofungwa na Salum Songoro dakika ya 79.
Ligi hiyo itaendelea tena kesho kwa kupigwa mchezo mmoja katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni kati ya Jang’ombe boys dhidi ya Chuoni.
Hivyo makala ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI
yaani makala yote ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/zimamoto-yaendelea-kuvutwa-shati-kvz.html
0 Response to "ZIMAMOTO YAENDELEA KUVUTWA SHATI, KVZ YAREJEA KILELENI"
Post a Comment