Loading...

ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

Loading...
ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA
link : ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

soma pia


ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa  akiongoza  Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana Uwanja wa Taifa,jijini Dar.


Naibu Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mission na Uinjilisti Mchungaji, Boniface Kombo akiongoza Lutrijia wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.
 Mchungaji Lewis Hiza akisoma somo la pili wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengezo ya Kanisa la KKKT iliyoadhimishwa na Dayosisi ya Mashariki  na Pwani katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Mchungaji Muke Najua  kutoka nchini Afrika kusini akitoa mahubiri wakati  Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa hilo iliyofanyika  Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Kundi la watoto zaidi ya 4000 waliopata Ubarikio wa Kipaimara wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa la KKKT Duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA

yaani makala yote ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/askofu-malasusa-aongoza-maelfu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA MIAKA 500 YA MATENGENEZO YA KANISA"

Post a Comment

Loading...