Loading...
title : BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR
link : BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR
BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Kushuhudia utiwaji wa saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akitiliana saini na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akikabidhiana vitabu vya mikataba na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao Baada ya kutiliana saini kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Hivyo makala BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR
yaani makala yote BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/balozi-seif-idd-mgeni-rasmi-hafla-ya.html
0 Response to "BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YAFANYIKA ZANZIBAR"
Post a Comment