Loading...

BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Loading...
BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
link : BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

soma pia


BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia) na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (wa nne kushoto).
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu cha UDOM


Hivyo makala BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

yaani makala yote BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-atembelea-chuo-kikuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA"

Post a Comment

Loading...