Loading...

Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu

Loading...
Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu
link : Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu

soma pia


Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu

 Kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam, kumepelekea Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili kupitika kwa shida kutokana na utelezi wa tope. hali iliyoleta adha kubwa kwa watumiaji wa njia hiyo, kwani si gari wala pikipiki zinazoweza kupita kwa sasa.
 Mmoja wa waendesha bodaboda akijaribu kumuelekeza dereva wa gari iliyokuwa mbele yake kutembea katika sehemu yenye unafuu kidogo wa kupitika.
 Ni nadra sana kuona waendesha bodaboda wakiwa kwenye msururu namna hii, lakini kutokana na hali ya barabara hiyo imewalazimu na wao kufuata utaratibu na kukubali matokeo.
 Baadhi ya watembea kwa miguu.
Moja ya gari ikiwa imekwama katika barabara hiyo.


Hivyo makala Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu

yaani makala yote Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/barabara-ya-mbezi-kwa-msuguli-kuelekea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni utelezi tu"

Post a Comment

Loading...