Loading...
title : CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki
link : CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki
CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.
Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na
Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki
Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.
Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.
Hivyo makala CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki
yaani makala yote CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/ccm-yaikamata-kaskazini-yashinda-kata.html
0 Response to "CCM Yaikamata Kaskazini...... Yashinda Kata Nne Jimboni za Arumeru Mashariki"
Post a Comment