Loading...

DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.

Loading...
DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.
link : DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.

soma pia


DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.

WILAYA ya Kibondo inakabiliwa na upungufu wa vituo vya Afya, ambapo katika Wilaya nzima kuna vituo vya afya viwili hali inayopelekea Wananchi wa Wilaya ya Kibondo kukosa vituo vya kwenda kutibiwa na kupelekea ongezeko la vifo kwa Wananchi kutokana na kukosa huduma.

Kufuatia hali hiyo Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Luis Bura amewaagiza Madiwani kuhakikisha wanawahamasisha Wananchi katika kata zao kuibua vituo vya Afya kwa kuanzisha ujenzi Wa vituo hivyo na Halmashauri kumalizia ujenzi huo ili kuhakikisha vituo vya Afya katika Wilaya hiyo vinaongezeka.

Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani Juzi Mkuu huyo alisema jambo la aibu sana kwa Wilaya hiyo kuwa na vituo vya Afya viwili na halmashauri isipochukua hatua ya kurekebisha vituo hivyo vitarudi kuwa zahanati, na amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri kuhakikisha anaongeza mbinu ya kuibua vituo hivyo angalau Wilaya hiyo kuwa na vituo 10 kwa kuanzia.

Aidha Bura alisisitiza Madiwani kupatiwa Vitambulisho vya bima ya afya ili na wao waweze kuwahamasisha wananchi kuchangia mfuko wa bima ya Afya (CHF) na waweze kupatiwa matibabu bure na kupunguza gharama za matibabu.



Hivyo makala DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.

yaani makala yote DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dc-kibondo-awaagiza-madiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO."

Post a Comment

Loading...