Loading...
title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
link : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Mohamed Aboud Mohamed (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe.Mihayo Juma N'hunga.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Ofisi hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Viongozi mbali mbali katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Ofisi hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)
Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-ofisi.html
0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS"
Post a Comment