Loading...

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

Loading...
DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI
link : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

soma pia


DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,   cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja.
 Wakurugenzi wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja.
 Waziri wa  Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha  Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine ni  Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM Nd,Salum Maulid Salum(kulia) na Naibu wa Wizara hiyo Mhe.Mohamed Ahmed Salum
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar Bi.Riziki Jecha Salim (kulia) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Idara yake wakati wa kikao cha siku moja  Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM,pia Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi  Nd,Salum Maulid Salum (wa pili kulia) alipokuwa akichangia wakati wa  kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,   cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia),akiwepo na Waziri Balozi Ali Abeid Karume na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum (kushoto).(Picha na Ikulu).


Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-wizara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI"

Post a Comment

Loading...