Loading...

DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

Loading...
DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA
link : DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

soma pia


DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kulia kwa Balozi huyi ni Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake, Zanzibar Balozi Xie Xiuowu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo. (Picha na Ikulu)


Hivyo makala DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

yaani makala yote DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dkt-shein-akutana-na-balozi-wa-china.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI WAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA"

Post a Comment

Loading...