Loading...

Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK

Loading...
Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK
link : Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK

soma pia


Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK

Kufuatia kifo cha mama yetu mpenzi Hidaya bint Msemo ambae ni mama yake mzazi sheikh Ahmad Muhammad Suleiman (Mashaka) na ni mama yake mkuu Sheikh Ally bin Asili, tunawaomba ndugu zetu tujumuike pamoja kwa ajili ya kumuombea dua mama yetu Allah amfanyie wepesi ktk safari yake. Dua ambayo itajumuisha kina baba na kina mama, itafanyika siku ya Jumamosi sawa na tarehe 18/11/2017 saa kumi jioni kwenye ukumbi wa:
Muslim Resource Centre
Red lane, Coventry
CV6 5EE
United Kingdom
Shughuli itaanza baada ya swala ya maghribi ambayo inaswaliwa saa kumi na robo. Ni muhimu kufika kwa wakati.
Kwa mawasiliano na maelezo Zaidi wasiliana na 
Sheikh Ali Asili,  07397565541
Sheikh Muhammad Hassan, 07438566797
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli yetu. 
Nyote mnakaribishwa.
والله ولي التوفيق



Hivyo makala Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK

yaani makala yote Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dua-ya-mama-hidayat-bint-msemo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane, Coventry, UK"

Post a Comment

Loading...