Loading...

Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe

Loading...
Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe
link : Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe

soma pia


Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe



Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyika Novemba 15 2017 chuoni hapo mkoani Morogoro.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyoika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Ganka Nyamsogoro, akitoa hotuba ya kumshukuru mgeni rasmi.
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Rainfrida Ngatunga (kulia), akifuatilia mada katika mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere uliofanyika Novemba 15 chuoni hapo 2017.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mdahalo huo.

Meza Kuu.

Washiriki wa mdahalo huo.

Washiriki.

Jonas Mkuna, akitoa mada.

Prof. Justin Kalisti Urassa, akitoa mada juu ya sera ya viwanda katika Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (kulia), akibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Sylvia Lupembe na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati wa
mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoa mada wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.


Hivyo makala Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe

yaani makala yote Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/elimu-mdahalo-wa-kumbukizi-ya-mwalimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe"

Post a Comment

Loading...