Loading...
title : HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM
link : HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM
HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM
Diwani Kata ya Saranga Haroun Mdoe akila kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Boniface Lihamwile katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo.
Diwani Kata ya Saranga, Haroun Mdoe kwa tiketi ya CCM, akisaini hati ya kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Boniface Lihamwile katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam leo.
Diwani Kata ya Saranga Haroun Mdoe kwa tiketi ya CCM, akipokea Ilani ya CCM kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo John Kayombo ili aweze kwenda kutekeleza ilani ya Chama hicho.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo John Kayombo, akionyesha Ilani ya CCM inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano ya Dk John Pombe Magufuli.
Hivyo makala HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM
yaani makala yote HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/haroun-mdoe-aapishwa-kuwa-diwani-wa.html
0 Response to "HAROUN MDOE AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA SARANGA KUPITIA CCM"
Post a Comment