Loading...

IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO

Loading...
IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO
link : IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO

soma pia


IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa Polisi wakati wa hafla fupi ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama hicho uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao.(Picha na Jeshi la Polisi)
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro( hayupo pichani) wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa SACCOS hiyo wakati wa hafla fupi ya kufunga mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro.(Picha na Jeshi la Polisi)


Hivyo makala IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO

yaani makala yote IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/igp-sirro-afunga-mkutano-wa-urra-saccos_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO"

Post a Comment

Loading...