Loading...
title : JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO
link : JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO
JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO
NA DENIS MLOWE, IRINGA
MBUNGE Wa viti maalum Mkoa Wa Iringa, Ritta Kabati ametoa wito kwa jamii kuondoka na itikadi za kisiasa pindi linapokuja suala la maendeleo kwa wananchi.
Akizungumza na wazazi na walezi wa shule ya msingi Igeleke wakati wa ukarabati wa madarasa ya shule hiyo mwishoni mwa wiki ikiwa ni ahadi yake ya kukarabati shule za msingi zenye miundo mbinu mibovu na zamani, Kabati alisema kuwa suala la ujenzi wa madarasa hauna siasa.
Alisema kuwa maamuzi ya kukarabati shule za msingi lengo ni kuyaweka mazingira bora ya kusomea wanafunzi na kuwaepusha na ajali zinazoweza kujitokeza kutokana na uchakavu wa majengo.
Kabati alisema kuwa imekuwa kawaida pindi mtu akitaka kufanya maendeleo mambo ya siasa yanaingizwa ila kwa serikali hii ya hapa kazi lazima tufanye kazi za kuleta maendeleo kwa wananchi.
Kabati (mwenye njano) akishirikiana na wananchi kubeba zege kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Igeleke
Kabati (mwenye njano) akishirikiana na wananchi kubeba zege kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Igeleke
Mbunge wa viti maalum Ritta Kabati akikabidhi saruji kwa uongozi wa shule kabla ya kuanza ukarabati katika shule ya msingi Igeleke.
Hivyo makala JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO
yaani makala yote JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/jamii-yatakiwa-kuacha-itikadi-za-vyama.html
0 Response to "JAMII YATAKIWA KUACHA ITIKADI ZA VYAMA KATIKA KULETA MAENDELEO"
Post a Comment