Loading...

JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

Loading...
JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam
link : JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

soma pia


JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Shahada ya Uzamivu katika Uchumi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  Jijini Dar es Salaam jana
 
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia alikuwa amidi wa shughuli za sherehe za chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimkabidhi mrithi wake Profesa Boniventure Rutinwa zana ya kutumikikia nafasi hiyo wakati wa mahafali ya 47 ya Chuo hicho leo Jijini Dar es Salaam. 
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandara akitoa neno la shukrani mara baada ya zoezi la kuwatunuku degree zao wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wahitimu wakiwa katika nyuso za furaha kufuatia kuhitimu masomo yao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo.
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba mara baada walipokutana katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam. Mwigulu Nchemba nimiongoni mwa wahitimu waliotunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Uchumi katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika leo Mlimani City. 
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali waliotunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba na Mkurugenzi Mkuu wa Mamala ya Usimaizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isack. 
Picha na MAELEZO


Hivyo makala JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

yaani makala yote JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/jk-aongoza-mahafali-ya-47-ya-chuo-kikuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam"

Post a Comment

Loading...