Loading...

Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2

Loading...
Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2
link : Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2

soma pia


Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2


Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Mshambuliaji wa timu ya Jang'ombe Boys Khamis Mussa (Rais) amefanikiwa kuondoka na mpira uwanjani baada ya kufunga mabao 3  yani Hat trick.

Amefunga mabao hayo wakati Boys walipoipiga Charawe mabao 4-2 katika mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja uliosukumwa mchana wa leo katika Uwanja wa Amaan.

Rais amefunga mabao hayo katika dakika ya 3, 9, na 21  na bao la nne likifungwa na Hafidh Bariki (Fii) dakika ya 83 huku mabao ya Charawe yakiwekwa nyavuni na Ulimwengu Edimundi dakika ya 66 na Yussuf Mkubwa dakika ya 68.

Mara baada ya kumalizika mchezo huo Mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na mchezaji huyo huku akipania kuongoza kwa kufunga mabao katika ligi hiyo.

“Nimefurahi sana kufunga mabao 3, niliwahi kufunga hat trick mwaka jana, ila mwaka huu nataka kuchukua ufungaji bora". Alisema Rais.

Hii ni Hat-trick ya pili kufungwa katika ligi hiyo ndani ya msimu huu ambapo Hat-trick ya kwanza ilifungwa na Salum Songoro wa KVZ ambapo mpaka sasa wanaongoza kwa mabao katika ligi hiyo ni washambuliaji hao pamoja na Nassor Ali wa Kipanga wote wakiwa na mabao 4.


Hivyo makala Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2

yaani makala yote Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/khamis-mussa-rais-apiga-hat-trick-boya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Khamis Mussa (Rais) apiga Hat-trick Boya ikiichapa Charawe 4-2"

Post a Comment

Loading...