Loading...

KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU.

Loading...
KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU.
link : KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU.

soma pia


KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU.

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza  mitihani ya upimaji wa wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne. Akitangaza mtihani huo leo Jumapili, Katibu Mtendaji, Charles Msonde amesema mtihani wa kidato cha pili utafanyika kuanzia kesho hadi Novemba 24.


Amesema wanafunzi 521,855 wa kidato cha pili wamesajiliwa kufanya mtihani huo. Amesema mtihani wa darasa la nne utafanyika kuanzia Novemba 22 hadi 23 mwaka huu na wanafunzi 1,195,970 wamesajiliwa kufanya mtihani huo.
Msonde amesema maandalizi ya mitihani hiyo yamekwishakamilika.


Hivyo makala KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU.

yaani makala yote KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kidato-cha-pili-darasa-la-nne-kuanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE KUANZA MTIHANI NOVEMBA 13 MWAKA HUU."

Post a Comment

Loading...