Loading...

Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo

Loading...
Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo
link : Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo

soma pia


Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo


Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) , Hemed Suleiman (Morocco)  leo Jumapili Novemba 5, 2017 saa 10:00 za jioni atatangaza majina ya wachezaji watakaounda kikosi hicho. 

Zanzibar Heroes, inajiandaa kushiriki Mashindano ya Chalenj Cup ambayo yanaandaliwa na CECAFA kwa kushirikisha nchi za Afrika Mashariki na Kati na mwaka huu yatafanyika nchini Kenya kuanzia Novemba 25 huku nchi zinazotarajiwa kushiriki ni Kenya, Uganda, Tanzania Bara, Rwanda, Burundi, Sudan, Ethiopia, Sudan ya Kusini, Djibout, Elitrea, Somalia na Zanzibar huku Zimbabwe na Libya zimealikwa kama wageni kushiriki.

Mbali ya kutangaza kikosi hicho pia kocha Morocco kesho anatarajiwa kutangaza majina ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Wanawake "Zanzibar Queens ambayo inatarajiwa kwenda nchini Rwanda kushiriki mashindano ya CECAFA ya wanawake.


Hivyo makala Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo

yaani makala yote Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kikosi-cha-zanzibar-heroes-na-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kikosi cha Zanzibar Heroes na Zanzibar Queens kutangazwa leo"

Post a Comment

Loading...