Loading...
title : Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar
link : Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar
Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar
Alikiba akiwa na kundi lake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta liliofanya hitimisho lake usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam.
Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia jana.
Ommy Dimpozi akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia jana.
Mwanamziki Mkongwa wa BongoFleva Afande sele akiwa katika jukwaaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaaam.
Wasanii Kassim Mganga na Jux wakishirikiana kuimba pamoja kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam juzi.
Hivyo makala Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar
yaani makala yote Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kilele-cha-tigo-fiesta-2017_26.html
0 Response to "Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka jijini Dar"
Post a Comment