KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINIlink :
KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI
KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeipiga faini ya sh. 500,000 (laki tano) mabingwa watetezi klabu ya Yanga baada ya kitendo cha mashabiki wake kurusha uwanjani chupa zinazosadikiwa kuwa na mikojo katika mchezo wao dhidi ya watani zao wa jadi Simba SC.
Kamati hiyo imeikuta klabu ya Yanga na hatia baada ya kupitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).
Yanga SC inakabiliwa na adhabu hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 42(1) kuhusu udhibiti wa klabu.
Katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara namba 58, mabingwa watetezi klabu ya Yanga ilishuka dimbani Oktoba 28 kukabiliana na Simba SC Uwanja wa Uhuru.
Katika mchezo huo wa watani wa jadi uliamuliwa kwa sare ya1-1, wakati Simba SC ikiwa ya kwanza kujipatia goli kupitia kwa Shiza Ramadhani Kichuya huku wenyeji Yanga wakisawazisha bao hilo kupitia Obrey Chirwa.
Hivyo makala KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI
yaani makala yote KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/klabu-ya-yanga-yapigwa-faini.html
Related Posts :
SIMBA YAIVUTIA KASI MBEYA CITY, WAENDELEA NA MAZOEZI
Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii
KIKOSI cha Simba kimeendelea na mazoezi yake katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wao dhidi… Read More...
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) al… Read More...
MAHAKAMA KISUTU YATAKA KILA CHOMBO KIHESHIMIWE
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kila chombo kinapaswa kufanya kazi zake kwa kuheshimiana na hai… Read More...
LIGI KUU WANAWAKE BARA HATUA YA NANE BORA KUENDELEA APRILI 21
Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii
LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara hatua ya Nane bora inatarajia kuendelea Jumapili Aprili 21 kweny… Read More...
MATUKIO YA OFISI YA WAZIRI MKUU BAADA YA BUNGE KUPITISHA BAJETI YA OFISI HIYO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akipongezana na Kamishn… Read More...
0 Response to "KLABU YA YANGA YAPIGWA FAINI"
Post a Comment