Loading...

LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA

Loading...
LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA
link : LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA

soma pia


LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA

Mwambawahabari
Wahitimu  wa mafunzo ya mgambo mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kutumia mafunzo waliyoyapata, kwa kufanya shughuli za kizalendo na kuepuka kuwa chanzo cha uhalifu na maovu katika jamii.
Hayo yamesemwa leo na mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix  Lyaniva alipokuwa akifunga mafunzo ya Mgambo kundi la 55  lenye jumla ya washiriki 815 waliohitimu leo jijini Dar es Salaam ambapo amewataka kutumia mafunzo waliyoyapata kwa kuwa wazalendo na kufanya shughuli mbalimbali za  ulinzi shirikishi katika jamii.

"Mafunzo mliyopata myatumie kwa kufanya shughuli mbalimbali za kizalendo kwa kuokoa maafa,Msiende kuwa chanzo cha Maovu na uhalifu huko mitaani wekeni  Uzalendo mbele" Amesema Mh. Ganiva

Aidha amewapongeza washiriki wote waliohitimu mafunzo hayo ambapo amewataka washauri wa kila wilaya waweze kuwapatia barua watakayopeleka kwa mtendaji wa kila kata ili waweze kuwekwa kwenye Ulinzi shirikishi katika katika kila mtaa.

Hata hivyo Lyaniva ameyataka  makampuni binafsi ya ulinzi   kuchukua walinzi kwa kufuata taratibu na sheria ikiwa ni pamoja nakuweka wazi  mkataba wamalipo ya mishahara yao na kuwataka kuacha kuajiri mgambo kinyemela badala yake waombekupitia kwa mshauri wa mgambo Wilaya.


Katika hafla hiyo Mh Fellix Lyaniva , amekagua gwaride la Mgambo hao, pamoja na kutoa vyeti kwa washiriki wa kila Wilayairiki kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, ambazo ni Ilala, Temeke, Kigamboni Ubungo na Kinondoni.

 washiriki waliohitimu mafunzo hayo wameonyesha maonyesho mbalimbali waliyoyapa  kipindi chote cha mafunzo muda  wa miezi minne ambapo wameonyesha, onyesho la  mapigo ya kareti, Gwaride kupita mbele kwa mwendo wa pole na haraka Onyesho la kwata ya kimyakimya, pamoja na onyesho la  Singe.

Kwa upande wake mshauri wa Jeshi la Akiba mkoa wa Dar es Salaam, Kanali Ismail amemshukuru Mh mgeni rasmi kwa kufika kufunga mafunzo hayo  ambapo ameiomba serikali kuangalia changamoto za gharama ya mafunzo ambapo washiriki wanaopenda kujiunga naafunzo wanashindwa kumudu gharama hiizo.



Hivyo makala LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA

yaani makala yote LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/lyaniva-ayavimbia-makampuni-ya-ulinzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LYANIVA AYAVIMBIA MAKAMPUNI YA ULINZI ,AYAPIGA MARUFUKU KUWAAJIRI MGAMBO KINYEMELA"

Post a Comment

Loading...