Loading...

MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692

Loading...
MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692
link : MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692

soma pia


MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameamuru ng'ombe waliobaki hai kati ya 692 waliokufa katika Pori la Akiba la Rukwa/Lwafi, waliokuwa wameshikiliwa warudishiwe kwa wamiliki wa mifugo hiyo.

Akiwa katika ziara yake Mh. Mpina amelazimika kutoa maamuzi hayo baada ya kukuta mizoga 692 ya ng’ombe ikiwa imetapakaa katika Pori hilo ambapo imedaiwa kwamba ng'ombe hao walikufa kwa kukosa mahitaji muhimu.

Waziri Mpina ameshangazwa kuona mizoga mingi kiasi hicho huku mifugo hai ikiishi zizi moja na iliyokufa, huku kukiwa na harufu mbaya

Imeelezwa kwamba mazingira hayo yamechangia kasi ya maambukizi ya magonjwa nyemelezi kuwa kubwa zaidi na kupelekea ongezeko la vifo kwa mifugo hiyo.
Hata hivyo baada ya kushudia Mizoga hiyo, Mh. Mpina amepokea taarifa ya Mkoa, Wahifadhi, Chama cha Wafugaji na wamiliki wa mifugo hiyo na kupitia nyaraka mbalimbali, ilibainika kuwa Mahakama Kuu, Kanda ya Sumbawanga, ilitoa amri ya ng’ombe hao kukabidhiwa kwa wenyewe tangu Julai 27, mwaka jana.


Mifugo hiyo ilikuwa imehifadhiwa katika hifadhi hiyo tangu mwezi machi mwaka jana.


Hivyo makala MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692

yaani makala yote MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/maamuzi-ya-waziri-mpina-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAAMUZI YA WAZIRI MPINA BAADA YA KUSHUHUDIA MIZOGA YA NG'OMBE 692"

Post a Comment

Loading...