Loading...

MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Loading...
MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
link : MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

soma pia


MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Nyong’ani alimaarufu Proffesa Maji Marefu alisifu juhudi za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli kuhakikisha wanazipatia ufumbuzi changamoto za afya katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili wananchi kupata huduma bora 

Proffesa Maji Marefu aliyasema hayo wakati akikabidhi vifaa tiba kwa Halmashauri ya Korogwe Vijijini vilivyotolewa na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia Bohari ya Madawa MSD wamewapatia vitanda vya kulalia wagonjwa,magodoro na mashuka vikiwa na thamani zaidi ya sh.milioni 17.

Vifaa tiba hiyo kwa upande wa vitanda vya wagonjwa vitasambazwa kwa baadhi ya vituo vya Afya na Zahanati zilizopo wilayani humo ambavyo ni Magoma, Mombo, Bungu,Mazinde,Manka,Hale,Mashewa,Vugiri na MakumbaKwa upande wa vitanda vya kuzalishia vitapelekwa kwenye zahanati za Mandera,Kwemazandu,Lwengera,Mkomazi na Makumba ambavyo vitasaidia kuondoa changamoto zilizokuwepo hapo awali.

“Niwaambieni tu serikali yenu chini ya Rais Dkt John Magufuli imejipanga vema kuhakikisha inatatua kwa vitendo changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi ikiwemo ya huduma za afya na ndio maana leo hii tunakabidhi vifaa hivi kwa lengo la kuboresha huduma hizo “Alisema.

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Mombo mashuka kwa niaba ya Vituo vya Afya vyengine kwenye halfa iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri Korogwe Vijijini kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Dkt Frank Chiduo na kushoto ni Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Korogwe Vijijini

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Mombo mashuka kwa niaba ya Vituo vya Afya vyengine kwenye halfa iliyofanyika ukumbi wa Halmashauri Korogwe Vijijini kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Dkt Frank Chiduo na kushoto ni Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Korogwe Vijijini
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani Alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia akiteta jambo kabla ya kukabidhi vitanda hivyo kuhusu umuhimu wa vifaa hivyo kutunza ili kuweza kuwahudumia wananchi.



Hivyo makala MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

yaani makala yote MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/maji-marefu-asifu-juhudi-za-serikali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJI MAREFU ASIFU JUHUDI ZA SERIKALI YA JPM KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI"

Post a Comment

Loading...