Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
link : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Joseph K. Malongo na Naibu Katibu Mkuu Bi. Butamo K. Philip ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Joseph K. Malongo(kulia) na Naibu Katibu Mkuu Bi. Butamo K. Philip (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-akutana-na-kuzungumza-na_22.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KUU WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS."
Post a Comment