Loading...

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI

Loading...
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI
link : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI

soma pia


MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.

Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.

Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.

Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan_28.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MH TUNDU LISSU JIJINI NAIROBI"

Post a Comment

Loading...