Loading...
title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Coca Cola Afrika Mashariki Bw. Ahmed Rady (kushoto),Mkurugenzi Mtendaji wa Coca Cola nchini Bw. Basil Godzios na viongozi wengine wa kampuni hiyo mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Coca Cola Afrika Mashariki Bw. Ahmed Rady (kushoto) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki.
yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_30.html
0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Meneja wa Coca Cola Afrika Mashariki."
Post a Comment