Loading...
title : Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
link : Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta iliyofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhulia sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta iliyofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhulia sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa awamu ya pili, katika Sherehe zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhulia sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Hivyo makala Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
yaani makala yote Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rasi-mhe-samia-amuwakilisha.html
0 Response to "Makamu wa Rasi Mhe Samia amuwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta"
Post a Comment