Loading...

Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu

Loading...
Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu
link : Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu

soma pia


Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu



Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenye picha ya pamoja mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi (katikati) katika hafla fupi ya kumuaga baada ya kustaafu mapema mwezi Julai mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa Umma. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara Utalii, Bw. Deograsius Mdamu na Afisa Utalii Domina Moshi (kushoto).

Kaimu Mkurugenzi wa Idara Utalii, Bw. Deograsius Mdamu (kushoto) akimkabidhi moja ya zawadi ya saa ya mezani yenye picha ya aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ya kumuaga baada ya kustaafu mapema mwezi Julai mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa Umma.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akiwa na Afisa Utalii, Nina Kisando (katikati) wakiwa wanatabasamu huku wakionesha moja ya zawadi ya saa ya mezani yenye picha ya Bi. Kiangi aliyokabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki baada ya kustaafu mapema mwezi Julai mwaka huu kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa Umma. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Deograsius Mdamu.

Baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utalii wakimsikiliza aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akizungumza katika hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akikata keki katika katika hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma tayari kuwalisha Watumishi wa Wizara. Kushoto kwake ni Marygoreth Mushin a Kulia kwake ni Mary Msekela.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi akimlisha keki Afisa Utalii Mwandamizi ikiwa ni ishara ya kuagana katika hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma. Kushoto kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Deograsius Mdamu.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi ( wa pili kushoto) akisindikizwa na baadhi ya Watumishi wa Idara ya Utalii mara baada ya hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii katika Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi ( wa pili kushoto) akiwa na Afisa Utalii, Dorothy Mtweve mara baada ya hafla ya kustaafu kwake kwa Mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma kumalizika.( Picha na Lusungu Helela- MNRT)


Hivyo makala Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu

yaani makala yote Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/matukio-aliyekuwa-mkurugenzi-msaidizi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii, Bi. Uzeeli Kiangi Aagwa baada ya Kustaafu"

Post a Comment

Loading...