Loading...
title : Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC
link : Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC
Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye gwaride la Kimya lililoandaliwa kwa heshma na Jeshi la Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini Uganda na kurejea nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakifurahia ngoma ya asili iliyokuwa ikipigwa na watoto wa nchini Uganda katika eneo la mpakani la Mutukula kabla ya kurejea nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mpakani Mutukula upande wa Tanzania mara baada ya kuwasili akitokea Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mpakani mwa Tanzania na Uganda (Mutukula) kuhusu ujenzi wa barabara ya Kutoka Miziro hadi Mutukula bila kupitia wilayani Misenyi. Pembeni yake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisikiliza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mpakani Mutukula upande wa Tanzania mara baada ya kuwasili akitokea Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mpakani Mutukula upande wa Tanzania mara baada ya kuwasili akitokea Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wakuu wa Majeshi ya Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa mpakani Mutukula upande wa Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tau nchini Uganda. PICHA NA IKULU

Hivyo makala Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC
yaani makala yote Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/matukio-rais-magufuli-amaliza-ziara-ya.html
0 Response to "Matukio : Rais Magufuli amaliza ziara ya siku 3 Uganda, Rais Museveni atoa tamko dhidi ya ICC"
Post a Comment