Loading...

MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.

Loading...
MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.
link : MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.

soma pia


MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.

Dodoma Mjini Anthony Mavunde wampongeza Mh. Rais Dk.John Pombe Joseph Magufuli kwa uamuzi wake kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma na hivyo kuongeza fursa za kiuchumi katika mkoa wa Dodoma kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zitakazotolewa.

Wakizungumza leo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV wamesema uamuzi huo ni fursa muhimu kwa wanadodoma ni vyema wakaitumia ipasavyo.Aidha wamempongeza Mh. Rais Magufuli kwa uamuzi wake wa kuivunja CDA na kurudisha mamlaka ya utawala wa ardhi chini ya Manispaa ya Dodoma na kubadilisha mfumo wa umiliki ardhi kutoka katika upangaji(Lease Ground) kwenda kwenye mfumo wa hati ya umiliki.

Wamesema kupitia mfumo huo Dodoma itapata fursa ya kuvutia zaidi wawekezaji wa muda mrefu tofauti ilivyokuwa awali.

Aidha Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi ameelezea mipango mikubwa ya ukuzaji mji wa Dodoma ikiwemo uharakishwaji wa huduma ya vibali vya ujenzi,upimaji wa mae uboreshwa wa miundombinu na huduma za kijamii ili viende sambamba na ukuaji wa haraka wa mji wa Dodoma.
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde na Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV.



Hivyo makala MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA.

yaani makala yote MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mavundelusinde-na-kunambi-wampongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAVUNDE,LUSINDE NA KUNAMBI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA KUELEZEA MIKAKATI YA DODOMA MPYA."

Post a Comment

Loading...