Loading...
title : MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
link : MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto ) na Meja Jenerali Simon Mumwi (kulia), wakisukumwa kwenye gari inayotembea mwendo wa taratibu kuashiria kumalizika kwa utumishi wao katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa hafla ya kuwaaga, iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Gwaride la Heshima likipita mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu) na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dk. Florens Turuka(kulia), wakizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akiagana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Meja Jenerali, James Mwakibolwa baada ya hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Ambapo Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA
yaani makala yote MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/meja-jenerali-projest-rwegasira-na-meja.html
0 Response to "MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA"
Post a Comment