Loading...

MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI.

Loading...
MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI.
link : MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI.

soma pia


MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI.

Na. John Luhende 
mwambawahabari
Zoezi la upimaji afya kwa wananchini wa Mkoa wa Dar es salaam , lililo fanywa na madaktari kutoka china na kufanyika ndani ya Meli ya  kijeshi  ya Jamuhuri ya China , leo limefungwa rasmi katika Bandari ya Dar es salaam.


Akizungumza katika tafrija ya kuwaaga madaktari walioshiriki katika zoezi hilo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Mhe.  Paul Makonda amemshukuru balozi wa China  Jeshi, na Madaktari waliofika kuwahudumia wananchi na kueleza dhamira ya serikali ya ya awamu ya tano kuwa ni kugusa moja kwa moja wananchi kwa kutatua changamoto ikiwemo kuboresha huduma za Afya  ..
Amesema niupendo wa pekee kwa nchi ya china kwa watanzania  kwa kuwa wamewahudumia watanzania kwa upendo kwa kuwapatia chakula , malazi na matibabu, hii ni kwa sababu ya mahusiano mazuri aliyo yafanya hayati Baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere  .
Kwa upande wake Mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Grace Magembe akitoa taarifa ya jumla ya kazi iliyofanywa na madactari hao amesema  wananchi walijitokeza kwa wingi zaidi ya Idadi iliyo tarajiwa ya watu 3000 na wakajitokeza zaid ya elf kumi  ambapo wametibiwa wagonjwa  2463  ndani ya Meli na wagonjwa  561 wa  walitibiwa kwa nje ya meli katika hospitali za wilaya za mkoa wa Dar es salaam na kusema kuwa wagojwa 23 walifanyiwa upasuaji ndani ya meli na 88 walihudumiwa na Madaktari wa MOI na JKCI.
Naye kiongozi wa Meli hiyo Guan Bailin , amemshukuru  Makonda  kwa  kuwa kunabaadhi ya mambo kuna wakati yalipokuwa yanataka kukwama alisaidia na kazi zikaendelea kama kawaida,na kueleza kuwa Meli hiyo yenye hospitali ilishawahi kuja tanzania miaka saba iliyo pita na kwamba ninadra sana kupata nafasi ya kutembelewa na meli hiyo ila Tanzani ni moja ya nchi ambazo sasa Meli hiyo imetembelea mara mbili.
`Pia katika hafla hiyo ya kuwaaga madaktari wa China ,Watanzania pamoja na Wachina wamepata nafsi ya kula,kunywa na kucheza tamaduni zao kwa pamoja na kuonyeshana michezo mbali mbali kutoka kila nchi.



Hivyo makala MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI.

yaani makala yote MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/meli-ya-jeshi-la-china-yenye-hospil.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MELI YA JESHI LA CHINA YENYE HOSPIL ,KUNG'OA NANGA , WATANZANI ZAID YA ELFUKUMI WAMETIBIWA, MAKONDA AWASHUKURU MADAKTARI KWA KUWAHUDUMIA KWA UPENDO WANCHI."

Post a Comment

Loading...